Hii imekua ka desturi mabinti wengi hudhani ya kuwa akipata mwanaume amemaliza mambo yote co kweli ukimpata anaekupenda kweli kweli japo ni vigumu ni zaidi ya mahela hivyo basi mwombe Mungu akujalie akupendae na ww umpende hela zipo sana au vipi
via sumsung galaxy s 3000
Mhhhh af hyo via samsung hyo???...
Anyway back to topic,
mapenzi kwani yapo sikuhizi ?utajuaje kama anakupenda,mana the moment u act loyal thts when u get played,kina dada go for money mana ipoo inaonekanaa
Nakataa pesa kuwa kipaumbele cha mahusiano.. ila Utegemezi kwa mwanaume ulikuwepo na utaendelea kuwepo hadi litakapotimia hili andiko Isaya 4:1 na siku hio wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Utukufu wa siku za usoni kwa mabaki wa sayuni''
Kama hujiwezi ondoa jam.....