Wito kwa m/kiti chadema mkoa kagera

Wito kwa m/kiti chadema mkoa kagera

THE OLDMANCHILD

New Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
4
Reaction score
0
HI!Kwa wapenzi wa CHEDEMA Mkoa wa Kagera mtakubaliana nami kwamba vuguvugu za kuchukua vitongoji,mitaa,kata na hatimaye TAIFA Ifikapo 2015 zinasuasua kama sikusimama kabisa.Nimezunguka vijiji takribani wilaya zote na wananchi wengi vijana,wanawake na wazee wote mioyo yao na tumaini lao ni chadema lakini wanakosa viongozi wa kuwambia mipango,mikakati na msimamo wa chama juu madhira wanayoyapata wananchi kutoka kwa manyangau ccm.Mfano kwa mjibu wa wanachama BUKOBA MJINI ni takribani mwaka sasa ofisi za CHADEMA zimehamishwa na hazijulikani zilipo.Mikutano ya hadhara haiitishwi,madiwani wa chadema bkb mjini na mbunge Wanashirikiana na KAGASHEKI kuvuruga shughuli za Manispaa n.k OMBI LANGU RWAKATARE UPUNGUZE MAJUKUMU YA CHAMA KITAIFA UJE TUIBOMOE CCM BKB MJINI JIMBO LETU LIKONJENJE CCM WANAVUNAWALICHOPANDA
 
Nimekusapoti sana kijana wangu katika hili.

Ila usiseme apunguze majukumu ya kitaifa bali akaimishe uenyekiti kwa yeyote ili wapige kazi mkoani!

Kwani yeye mzee mwenzangu lwaks ni mtu muhimu saana kwa chadema kipindi hichi na siku zote ili kuya maliza magamba na mbinu yao ya usaliti kupitia kwa wakina zit.to,mkum.bo na mwig.amba.
 
Unamwita lwakatare yule gaidi wa kulisha watu sumu?
 
Wahalifu na wauwaji ndio mashujaa ndani ya chadema
 
Nimekusapoti sana kijana wangu katika hili.

Ila usiseme apunguze majukumu ya kitaifa bali akaimishe uenyekiti kwa yeyote ili wapige kazi mkoani!

Kwani yeye mzee mwenzangu lwaks ni mtu muhimu saana kwa chadema kipindi hichi na siku zote ili kuya maliza magamba na mbinu yao ya usaliti kupitia kwa wakina zit.to,mkum.bo na mwig.amba.

nyie ni killers
 
matumaini ya chama yanatakiwa kuwa ya wanachama wenyewe kuliko viongozi
 
Back
Top Bottom