habari,router ya zyxel inauzwa bei nafuu 85 000 tu,ina port mbili za ethernet na unaweza kukonect na intanet kwa modem au waya kutoka kwa isp,ina vifaa vyote+user manual,imetumika kidogo.nzuri kwa nyumbani,inatransfer up to 150 mbps nitext 0763 309632