Electrical Engineer
Member
- Oct 6, 2012
- 50
- 18
Pole kwa kuhangaika kutafuta huo utalaamu Mkuu. Kwa kuwa ndo unaanza kujifunza, itabidi utumie DTMF decoder IC kama MT8870D ambayo utaiunganisha na simu yako(mobile au landline) kupitia headphone jack ya simu. Inabidi simu unayoitumia kama remote controller iwashwe DTMF tone ili unapobonyeza button (0-9,A-D,* na #) ya keypad, itoe tones ambazo utazisikia na receiver ui-set kwenye Auto Answer Mode ili ikipigiwa tu inapokea automatically. Wewe caller ukiona au kusikia simu yako imepokelewa automatically na receiver, unabonyeza key ambazo unataka either kuwashia taa au kufungulia kifaa cha umeme. Receiver inapokea milio ya key ulizobonyeza inazipeleka kwenye DTMF decoder ambayo inatafsiri kila mlio na kutoa 4-bit output kwenye pin nne za output. Wewe mwenyewe utaamua ni pin ipi ya DTMF decoder kati ya hizo nne, uitumie kuwashia taa, na ipi kuwashia TV na ipi ufanyie -----Wakuu habari,
Nngependa tujuzane hii kitu kwa undani zaidi, hasa wale wadau wa umeme na wireless sensors kwa ujumla. Nmekua inspired na vjana watundu haswa wa mitaani tu wanaobuni simple mechanisms zinazowezesha kucontrol taa pamoja na baadhi ya vifaa vya umeme wirelessly using mobile phones or simple sensors. Nikiwa kama electerical engineer mtarajiwa, nilikua interested na hii kitu. Sasa naomba tujuzane kinagaubaga kwa anaefahamu je ni components zipi basically zinahitajka kuperform iyo task? Hapa ni vema circuit, design and the whole thing in general vikawa simple na affordable, just for learning. Though bado ni mwanafunzi na sijawahi jifunza hii kitu darasani but i believe i get something from you. :help:
Pole kwa kuhangaika kutafuta huo utalaamu Mkuu. Kwa kuwa ndo unaanza kujifunza, itabidi utumie DTMF decoder IC kama MT8870D ambayo utaiunganisha na simu yako(mobile au landline) kupitia headphone jack ya simu. Inabidi simu unayoitumia kama remote controller iwashwe DTMF tone ili unapobonyeza button (0-9,A-D,* na #) ya keypad, itoe tones ambazo utazisikia na receiver ui-set kwenye Auto Answer Mode ili ikipigiwa tu inapokea automatically. Wewe caller ukiona au kusikia simu yako imepokelewa automatically na receiver, unabonyeza key ambazo unataka either kuwashia taa au kufungulia kifaa cha umeme. Receiver inapokea milio ya key ulizobonyeza inazipeleka kwenye DTMF decoder ambayo inatafsiri kila mlio na kutoa 4-bit output kwenye pin nne za output. Wewe mwenyewe utaamua ni pin ipi ya DTMF decoder kati ya hizo nne, uitumie kuwashia taa, na ipi kuwashia TV na ipi ufanyie -----
Njia nyingine ila ngumu(hadi uchimbe kitabu) ni ya kutumia codes za AT & T Commands ku-control devices kutumia handset peripheral interfacing port (USB port etc) au wireless.
Kwa upande wa cellphone mara nyingi watu hutumia kwa namna hii; Unajua unapopiga simu na inapolia upande wa pili(simu iliyopigwa) ndio wapo pa kuanzia(kuna namna nyingi) .
Kwa namna gani?
In-order for the phone to ring ,the ringer must be energized(receive electrical signal that will be converted to voice(ring tone) with certain voltage depending on the threshold of the ringer type. So you can fetch parallel or remove complete the ringer and use that voltage signal as input to trigger the intended circuit....
So whenever you call that number you trigger the circuit that connected parallel to the ringer ....the circuit might be a light switch or anything ....other people use to trigger very dangerous stuff I cant say here .
The challenge of using this technique is that;ARe you the only one who can call that number?,like the number must be dedicated for that purpose...still what about people who call wrong number and it happen they call that number..??
Still ,...the thing is designing is about creativeness ; once you know signal flow ,characteristics and how different components react or being activated you can do (design) as you want ......even better than your teacher ...designing is free and open
Pole kwa kuhangaika kutafuta huo utalaamu Mkuu. Kwa kuwa ndo unaanza kujifunza, itabidi utumie DTMF decoder IC kama MT8870D ambayo utaiunganisha na simu yako(mobile au landline) kupitia headphone jack ya simu. Inabidi simu unayoitumia kama remote controller iwashwe DTMF tone ili unapobonyeza button (0-9,A-D,* na #) ya keypad, itoe tones ambazo utazisikia na receiver ui-set kwenye Auto Answer Mode ili ikipigiwa tu inapokea automatically. Wewe caller ukiona au kusikia simu yako imepokelewa automatically na receiver, unabonyeza key ambazo unataka either kuwashia taa au kufungulia kifaa cha umeme. Receiver inapokea milio ya key ulizobonyeza inazipeleka kwenye DTMF decoder ambayo inatafsiri kila mlio na kutoa 4-bit output kwenye pin nne za output. Wewe mwenyewe utaamua ni pin ipi ya DTMF decoder kati ya hizo nne, uitumie kuwashia taa, na ipi kuwashia TV na ipi ufanyie -----
Njia nyingine ila ngumu(hadi uchimbe kitabu) ni ya kutumia codes za AT & T Commands ku-control devices kutumia handset peripheral interfacing port (USB port etc) au wireless.
Mkuu, DTMF decoder kaulize kwenye maduka ya electronics components sehemu ulipo ukikosa angalia kwenye mnada wa eBay ama Amazon. Unaweza ku-control device hadi 16 kwa wakati mmoja kwa kutumia hiyo DTMF decoder.Hiyo DTMF decoder ni sh ngap?
Nashukuru kwa kuthamini mchango wangu Mkuu. Tuko pamoja.Kiongozi maelezo yako nimeyapenda,big up