Wireless bulb CCTV camera kwa bei nafuu (Tshs 75,000)

Wireless bulb CCTV camera kwa bei nafuu (Tshs 75,000)

mchushi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
216
Reaction score
98
Pata wireless CCTV camera zenye umbo la bulb (spy camera) zinazotumia memory card kwa offline mode au WiFi kwa remote monitoring.

Zinawaka kama bulb za kawaida hivyo ni ngumu mtu kuzitambua kama ni camera na kuna option ya kuzima pia option ya taa kwa kutumia application yake.

Unaweza kuview matukio kwa kutumia app ya Android au iPhone.

Ni nzuri kwa ajili ya kusimamia biashara za mtaji wa kati na usalama wa mtoto/ dada wa kazi nyumbani na matumizi mengineyo.

Nicall/Whatsapp 0752548861 kwa maelezo zaidi.

Napatikana Mbeya lakini pia mikoa ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma.

IMG_20191107_172238.jpeg
IMG_20191107_172216.jpeg
IMG_20191107_172230.jpeg
-1087806970800543962.jpeg
IMG_20191107_172129.jpeg
-1086393308500091733.jpeg
 
Si hizi huwa hazifanyi kazi bila internet?au wameboresha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom