Wire na remote za sony home theater zinahitajika

Wire na remote za sony home theater zinahitajika

shaman

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
94
Reaction score
182
Wakuu natafuta wire za speaker na remote za Sony Home theater home.

Mwenye nazo anipm wakuu.
 
unata wire ai unataka pini zle za kuingia kwenye ile deck
 
unata wire ai unataka pini zle za kuingia kwenye ile deck
mkuu nataka wire na pin zake maana home theater niliyonayo haina wire hata mmoja..kuna mdau nilimpa mpunga aniuzie aina nyingine bt akawa ananizungisha ndo nikaamua kuibeba hio ilia walau hela ispotee
 
Back
Top Bottom