Winter olympics

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,700
Reaction score
1,857
I am watching the opening of the Winter Olympics in Sochi, Russia. I am starting to get worried because I have not seen our president there. Is he okay, or has he boycotted the opening ceremonies just like Obama and the co.? Those in Bongo should let us in the know. It is not normal!
 
Maybe mkuu wa kaya ni gay activist ndo mana kagoma kwenda huko

Maana kule Russia ukitoa "gay propaganda" unakula adhabu kali zaidi ya pussy rioters
 
Vizuri, badala yake kaamua kwenda London kwenye mkutano wa kuhifadhi ndovu. Kama anadhani huko atapata hela, safari hii ataingia aibu. Gazeti la Mail on Sunday kwa mara ya kwanza limetoboa siri ya uhusiano wa karibu bain ya majangili wa wanyama pori na watawala, hata kudiriki kuuliza kama prince Charles atakubali kumpa mkono mkulu, kwani wanamwona yeye yumo katika mauaji ya ndovu 11,000 kila mwezi.
Si mara nyingi vyombo vya habari vya magharibi viki-criticize uongozi wa Tanzania. Siku zote walikuwa wakiamiliana na Tanzania with 'kids gloves'. Hatua hii ya sasa ni dalili ya kwanza kuwa walami wameanza kuchoshwa na JK. Au pengine amewakatalia deal fulani na kuwapa Wachina? Time will tell.
Binafsi, siamini kuwa mtu ambaye kitu kidogo kikifanywa na wapinzani atatuma jeeshi kuuwa watu, anashindwa kumaliza tatizo la majangili eti hana namna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…