Windows Script Host...Can not find script file...

yshima

Member
Joined
Sep 12, 2010
Posts
31
Reaction score
1
Jamani mwenzenu kila nikiwasha compyuta yangu inaniletea kameseji ambako kananiudhi sana!!
Kameseji kenyewe ni haka! Windows Script Host ... Can not find script file ''C:\WINDOWS\system32\RAHULANTIVIRUS.vbs''. Tazama picha hapo chini..!!

Sasa nitakaondoaje haka kameseji....anayefahamu namna ya kukakomesha anisaidie tafadhali....Thanks inadvance!
 
Ondoa/uninstall hiyo antivirus software..:glasses-nerdy:
 
Ondoa/uninstall hiyo antivirus software..:glasses-nerdy:

Ukweli ni kwamba kwenye kompyuta hii hakuna hiyo antivirus.Mimi natumia antivirus inayoitwa avast 4.8 professional,na OS ni Windows XP-sp2.

Tatizo hili lilianza baada ya kutumia flash disk moja hivi kwenye compyuta hii.niliiscan kwa avast antivirus ambayo ilidelete karibu mafaili yote kwenye hiyo flash disk.....baada ya hapo nilizima kompyuta hiyo.

Nilipo kuja kuiwasha wakati mwingine ndo nikakutana na kameseji hako...alaf Internet Explorer(8) ikawa inadisplay title inayosomeka LORD RAHUL COOL (hili la lord rahul cool nimhesha lisolve)....limebaki hilo la kamseji tu.......please help!!!!!
 

We jamaa inaonekana uko out f date bana.... Avast iko version 6 we bado upo 4 ? tumia application ya Combofix http://combofix.org/download.php kuondoa hiyo error msg pia ita-clear na malware kwenye pc yako kama wapo....
 

Maana ya huu ujumbe ni kwamaba kulikuwa na virusis huyu kakaa kwenye hii path 'C:\WINDOWS\system32\RAHULANTIVIRUS.vbs lakini huyu virus akafutwa. tatizo la huo ujumbe ni kuwa kuna process bado inarun amabyo inatafuta hiyo script ya vbs. So cha ufanya ni kujua ni executable process gani amabayo bado inamtafuta huyo mdudu aliyefutwa. ukiiijua hiyo process Kill it and "kaizike" bila maombolezo .

Inawezekaa somewhere kuna batch file. may be wenye rpife ya user file. Ajribu uingia wa user wmingie au create use mwingine uone kama litakuwepo tatizo Lisipokwepo tatizo wa user mwingine basi ujue kua file fulani zipo wenye user profile zinataiwa kuaondoka

Kama unapata utata install kitu kinaitwa www.malwarebytes.org . Itakufanyia kazi na kukill hiyo process.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…