W wicalumtata JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 329 Reaction score 113 Jun 24, 2015 #1 Habari njema kwa watumiaji wa windows phone , leo nimepata update ya whasap call
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 24, 2015 #2 wicalumtata said: Habari njema kwa watumiaji wa windows phone , leo nimepata update ya whasap call Click to expand... Wacha na mimi nifanye update
wicalumtata said: Habari njema kwa watumiaji wa windows phone , leo nimepata update ya whasap call Click to expand... Wacha na mimi nifanye update
W wicalumtata JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 329 Reaction score 113 Jun 24, 2015 Thread starter #3 Sasa hata audio mp3 unatuma kupitia whasap
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 24, 2015 #4 wicalumtata said: Sasa hata audio mp3 unatuma kupitia whasap Click to expand... Unamaanisha unaweza kutuma attachment ya audio kama kwenye android?
wicalumtata said: Sasa hata audio mp3 unatuma kupitia whasap Click to expand... Unamaanisha unaweza kutuma attachment ya audio kama kwenye android?
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 24, 2015 #5 ymollel said: Unamaanisha unaweza kutuma attachment ya audio kama kwenye android? Click to expand...
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,554 Reaction score 4,171 Jun 24, 2015 #6 mbona humaanish ulchoandika?
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 25, 2015 #7 Mushi92 said: mbona humaanish ulchoandika? Click to expand... Angalia picha
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jun 25, 2015 #8 Mdomdo tu na sie windows mobile tunakuwa kuzuri sasa.. Toka jana asubuhi nimeupdate..
W wicalumtata JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 329 Reaction score 113 Jun 25, 2015 Thread starter #9 Ila mbona nimejaribu kupiga ,kwa kutumia whatsap ila haijakaa poa? Au ni networks
CompaQ JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 281 Reaction score 134 Jun 25, 2015 #10 hata rangi imebadilika naona kwa sasa imekuwa rangi ya Bluu ya whatsapp badala ya Kijani aisee
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,862 Jun 25, 2015 #11 wicalumtata said: Ila mbona nimejaribu kupiga ,kwa kutumia whatsap ila haijakaa poa? Au ni networks Click to expand... Ili upige lazima uwe na kifurushi cha data na huyo unayempigia pia awe nacho na awe ameweka data ON. Ndio masharti.
wicalumtata said: Ila mbona nimejaribu kupiga ,kwa kutumia whatsap ila haijakaa poa? Au ni networks Click to expand... Ili upige lazima uwe na kifurushi cha data na huyo unayempigia pia awe nacho na awe ameweka data ON. Ndio masharti.
nxon JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,162 Reaction score 408 Jun 27, 2015 #12 niliipata jana usiku sasa tukae mkao wa kupokea windows10