Jaribu kufungua uzi mmoja tu wa kuhusu biashara yako half kila kitu kinachohusiana na biashara yako uwe unaweka humo
Ni ushauri.
Faida yake ni kwamba kazi zako zote zitakua ndani ya uzi mmoja, hivyo watu wakiangalia tu wanaona kila kitu kwa wakati mmoja.
Ni tofauti na saivi, kila kazi ina uzi wake, kitu ambacho kinaweza kua ni kigumu kwa namna fulani.