Usieke windows 10 kama ndio simu yako ya kila siku. Mimi nimeenda windows 10 kama mara 2 ila bado haijawa stable nikaamua nirudi 8.1.
Kama una simu mbili na hio lumia huitumii sana unaweza kuweka windows 10 ukaitest kibishi na hizo bug.
Sababu windows 10 ya pc ishatoka wale wataalam wa windows watakuwa wamehamia kwenye windows 10 ya simu sasa na hii update ya wiki hii wamefix bug kama 2000 hv.
Labda mwezi wa 9 watu wa insider tutapata build ambayo ipo stable atleast tukatumia kwenye matumizi ya kila siku
Mi natumia lumia 1520 na nimeweka w10 build ya juzi tuu na ndio daily window yangu ... Bugs zinakuwepo sometimes lakin sio km haiwezekani kutumiwa. Iko poa tena unakula raha za kufa mtu.
Hivi kwanin tusifungue uzi kwa ajili ya watumiaji wa Windows Phones. ... Ni wazo tuu.
Hivi ukiweka windows 10 na ukataka kurudi windows 8 ni lazima utumie pc ama waweza kwenye simu pekee
Hivi kwanin tusifungue uzi kwa ajili ya watumiaji wa Windows Phones. ... Ni wazo tuu.
Conceptual.android app to windows phone EMULATION..but in real wanataka madeveloper wanaotengeza app za android na iOS wasitumie nguvu nyingi kutengeza app za windows phone..hii INA maana developer watakuwa wana Fanya less code editing and tweaking kwa ajili ya kutengeza app from android au iOS..or just convention of apps...wakifanya apps za android kurun direct hii itafanya madeveloper kutotengeza program za windows phone na kuendelea kutengeza kiandroid ili irun kwa windows phone.halo hii itafanya windows phone os kufa.Moja kati ya feature ya windows 10 for mobile, ni kuweza kuRun Apps za Android na iOS. So tutegemee kuwa na wigo mpana zaidi wa apps. Lakini pia kuInstall Preview version ya windows it your Own Risk kwa sababu Preview version zina Bugs nyingi na hilo limetamkwa na microsoft wenyewe, na hawana Warranty na hilo.
Conceptual.android app to windows phone EMULATION..but in real wanataka madeveloper wanaotengeza app za android na iOS wasitumie nguvu nyingi kutengeza app za windows phone..hii INA maana developer watakuwa wana Fanya less code editing and tweaking kwa ajili ya kutengeza app from android au iOS..or just convention of apps...wakifanya apps za android kurun direct hii itafanya madeveloper kutotengeza program za windows phone na kuendelea kutengeza kiandroid ili irun kwa windows phone.halo hii itafanya windows phone os kufa.Ngoja win 10 itoke, nimeona jamaa wameihack wameeka hadi playstore kwenye win 10 na app zinazohitaji playservice zinafanya kazi.
Hapa nipo tempted kueka win 10 kwenye simu tena
Wakuu hivi hakuna pengine pakupata app tofauti Na store...