unatumia anti-virus yoyote?...jaribu kurepair hiyo system kwa kutumia cd uliyotumia kuinstall...kama bado inazingua then fanya back-up alafu iformat uanze upya na uweke anti-virus
Mbona hujaweka maelezo ya hayo error ili tupate namna ya kukupa Ufumbuzi mkuu eRRy? ikiwa Computer yako imepatwa na Virus affected huwezi kupata hata internet connection ninafikiri hata hapa Jamii Forums usingeweza kuingia online jaribu kutupa Feedback nzuri sio kutoa nusu nusu tu mkuu asante.