kutokana na link aliotoa bwana Joe Nyandigira tom warren anasema hawajaamua chochote kuhusu windows 9. wakikutana build 2014 wao na madeveloper idea zitatokea pale.

.
Anhaaa ok chief.....
.
Tembelea na hapa softpedia Windows 9 - news tag
uone walivyoongelea pia
.
Utakutana na kitoto kimoja hiv
.
WINDOWS 9 CONCEPTS WAS CREATED BY 14 OLD BOY.....
.
wanadai kalicheza na power point