Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 478
- 714
Kwa yeyote anayehitaji Windows 8,office 2013 nafanya installation pamoja na drivers.Please contact me through 0712920334. I'm in Dar es Salaam
kwani kuna mtu bado hajapata vitu hivi? windows 8, office 2013 na drivers. nivipost na jinsi ya kuvidownload kiurahisi???
anyone who need those staff?
ukitaka internet ya gharama nafuu na speed kubwa kwa ajili ya kushusha hii kitu cheki hapa https://www.jamiiforums.com/tech-ga...t-tunnel-kwa-kila-member-wa-jamii-forums.htmlAaaaaaah ukiwa techcian unatakiwa usaidie wenzio xo 2pia hyo steup ndan ya
Kumi na nane wa2 wafanye mamb
duh we kweli mgeni. hizo comments si tunaandika mimi na wewe huko torrents. baada ya kukutana na hao virus.Keyser Söze;6048973 said:Uzuri wa torrents hata kama ni slow at least unapata comment kutoka kwa watu waliotumia kujua kama inafanya kazi na pia kuna wale trusted uploaders ambao hawawez kukuwekea viruses. Stay away from those file lockers
duh we kweli mgeni. hizo comments si tunaandika mimi na wewe huko torrents. baada ya kukutana na hao virus.
hizi zinatoka kwenye trusted source. zinaitwa warez sites. site hizi zina sifa ya kushindana kuleta vitu vizuri kwa watumizi wao. ni miaka sasa natumia warez sijakutana na virus , malware wala keylogers. lakini kwenye torrents malalamiko mingiiii kwenye wewe unazoziita comments.
fikiria forums kama hivi JF admin huwa ndio anaweka materials baada ya yeye kuprove usalama wa watumizi wake.
naye anafaidika kwa visitors kuwa wengi kwenye site yake. hivyo hawezi weka virusi
kwani kuna mtu bado hajapata vitu hivi? windows 8, office 2013 na drivers. nivipost na jinsi ya kuvidownload kiurahisi???
anyone who need those staff?
Wengine bado tuko na hizi trials
Me nina window 8 pro build 9200 ila bado cjazipata activation keys xo napitia wapi wadau?