Windows 8: Windows To Go

KXY

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
880
327
Wadau wakati tunasubiri Windows 8 kuna hii feature imenigusa sana ya Windows To Go.

Windows To Go ni feature ambayo unaweza install Windows 8 kwenye flash/ext disk na kui-run tokea humo kama ilivyo kwa live CD kama za Ubuntu. Hii nimeipenda kwa sababu inawezekana ukawa hupendi kutumia hiyo Windows 8 kwenye mashine yako lakini unahitaji environment yake kwa ajili ya kazi fulani tu, hapo we una insert flash yako na kupiga mzigo.

Microsoft wameiweka moja ya sababu ikiwa kwa ajili ya enteprise customers ili kuweza kumsaidia mfanyakazi aweze kufanyia kazi nyumbani kwani hiyo flash inakuwa kama moja ya computers within the company's network.

Mengi hatujayajua bado kuhusu hii maana hata Windows 8 beta bado lakini tujiweke tayari kufaidi vitu hivi mda ukifika.

win-8-windows-to-go.JPG

Image hapo juu kitu MacBook Air kikiwa kina-run Windows 8.

Nawasilisha.

KXY
 
wanajitahidi lakini ukicheck Lion na Precise Pangolin, Bill bado ana kazi sana!
 
wanajitahidi lakini ukicheck Lion na Precise Pangolin, Bill bado ana kazi sana!

Microsoft wamebadilika kidogo siku hizi, kazi ipo kweli ila naona wapo on right track
 
Microsoft wamebadilika kidogo siku hizi, kazi ipo kweli ila naona wapo on right track
wanaanza kuwa customer oriented baada ya kugundua kuwa wababe wengine wako sokoni. Sijui google na web/cloud OS yao waliishia wapi!
 
wanaanza kuwa customer oriented baada ya kugundua kuwa wababe wengine wako sokoni. Sijui google na web/cloud OS yao waliishia wapi!

Chrome walizitoa kwa baadhi ya nch tu, hazizidi 4 nafkiri sasa sijui wamejifunza nini na watakuja vp baada ya hapo
 
they still have a long way to go. in long run software zote zitakua free with some limitations users paying for extra features or enterprise support. open source and free softwares zinakuja kwa kasi. linux wamekua na hii feature toka long time.
 
Ndio maana wanabadilika maana mwanzoni wakati wame monopolize soko walikuwa conservative sana. Itachukua muda kuwaondoa sokoni hawa jamaa na reputation yao ina wabeba sana hasa kwa average users ambao ndio wengi, kizazi cha dot com labda kitabadili mambo tusubiri tuone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom