Habari zenu wanaJF? Kwa wale wataalamu wetu ninaomba ushauri. Nina Dell E1911 19inch monitor amabyo nilinunua hivi karibuni. Nilipata Windows 8.1 Enterprise kutoka JF Store nikafanya clean installation kwenye Dell Optiplex 745 yangu. Baada ya kumaliza nikaona resolution imekuwa blurred/imefifia , Nikajua itakuwa ni resolution ipo chini, nikajaribu kuchange lakini siioni option ya screen resolution yangu (ambayo ni 1440 x 900) badala yake highest resolution inayoonekana ni 1280 x 1024. Na hii 1280 x 1024 ni aspect ratio ya 5:4 na screenyangu ni 16:9 ambayo ndiyo 1280 x 1024. Imenisumbua sana mpaka nimeamua nitumie Windows 7. Naombeni mnisaidie kimawazo.
"Nitangulize shukrani zangu kwa yeyote atakayenisaidia"
kaka first time ikiwa blured inamaana hamna driver za graphics. resolution ya 1280x1024 ni cha mtoto kwa win8.1 sababu imekua designed hadi kwenye resolution kubwa. saivi screen za full hd window zipo za kutosha ona ativ tablet ya samsung.
Nashukuru sana chief-mkwawa kwa jibu lako, lakini nilitembelea tovuti ya intel, nikadownload Intel HD graphics driver lakini wakati wa installation nikapata error message iliyosema kwamba PC yangu haiendani requirements na hiyo driver. Je nikifanya Windows Update, ninaweza kupata graphics zinazofaa??
Nashukuru sana chief-mkwawa nimeinstall upya hii Enterprise yangu kisha nikainstall driver za Vista kwa compatibility na graphics zimekubali.
Nashukuru sana mkuu. Bila ushauri wako ningeshaipotezea Windows 8. "BLESSED BROTHER"