Windows 8 and Office 2013 Activator.

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
2,759
Reaction score
594
Kama topic inavyo jieleza, ambao mpaka sasa hawaja activate products zao chukueni hii.

Updates:
 

Attachments

mimi nimeshaactivate window 8 bado office 13 tu!!!! vipi inafaa nirun moja kwa moja haitosumbua activation yangu yawindow 8.
 
mkuu MziziMkavu vipi wewe? ndo mida ya futari tualikane sheikh....
Mkuu C6 huku tunafuturu saa 3 usiku tofauti na huko nyumbani Munafuturu saa 1 usiku hahahahh kasheshe kweli karibu kufutari kuna kila aina ya chakula na matunda .Mimi kwanza kabla ya kula futari nina kunywa Maji ya Uvuguvugu kuondosha Mafuta mwilini na kitambi si unajuwa Ramadhani ukila chakula hukondi hahahah.
 
Last edited by a moderator:
mh mzizmkav dawa nyepesi kwa mgonjwa mwili kuwaka moto, amemeza dawa za hospitali sana, na aakila saana anakitoa chakula vomiting:help:
ivi MziziMkavu dokta wa tiba mbadala?
Huko Luxemburg wateja wapo?
 
Last edited by a moderator:
mh mzizmkav dawa nyepesi kwa mgonjwa mwili kuwaka moto, amemeza dawa za hospitali sana, na aakila saana anakitoa chakula vomiting:help:
Mkuu... mansakankanmusa Mwambie aende Hospitali kuangalia vizuri mpeleke hospitali kubwa kwa hapo ulipo.Huenda ukawa na fungus kwenye kifua au vidonda vya tumbo. Nenda kapime kisha uje hapa utuambie umeambiwa kitu gani na Daktari ? Nenda Hospitali yaMuhimbili

Dawa ya kuzuia kutapika


Upate unga wa habbat sauda ambao umetwangwa vizuri na upate karafuu uvitwangwe kwa pamoja na uwe unatumia mara tatu kila siku mpaka utakapo pata nafuu Inshaallah​



Dawa ya KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA

Kunywa mchanganyiko wa Juice ya Tangawizi na Juice ya Kitunguu.
 
MziziMkavu
Nami nisaidie dawa ya kukohoa, homa bila kuathiri funga yangu
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu
Nami nisaidie dawa ya kukohoa, homa bila kuathiri funga yangu
Mkuu SPYMATE Dawa ya kukohoa Changanya kijiko kimoja cha tangawizi na kijiko kimoja cha asali safi kisha kunywa mara nne kwa siku.

DAWA YA MARADHI YA HOMA

Kuoga maji ya baridi pale unapojisikia homa, huondosha machovu ya mwili.


Chai kavu ukaipika pamoja na ndimu kisha uinywe moto moto hutoa joto la mwili na huondoa homa moja kwa moja.

Maji ya balungi uchanganye na maji ya kawaida huondoa homa.

Juice ya apricots uchanganye na glucose au asali uwe unakunywa asubuhi na usiku.
 
Last edited by a moderator:

mkuu had kwenye U pharmacist upooo!! Umetisha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…