Habari Wadau !
Computer yangu HP Elite book ilikuwa ipo slow na in a stuck sana, nikaamua ku i reinstall window yake . Sasa wakati in reinstall ikawa inaniletea message kwamber kuna error imetokea - ambayo ime interrupt installation hivyo nibonyeze OK ku restart installation process . Sasa ni masaa karibia saba inanipa same error , nimejaribu kila nmna nimeshindwa. Naomba mawazo kwa wataalam au mtu ambaye ashakumbana na shida kama hii.
Nitafute tuondie tatizo 0713 555991