Ommydeking
Member
- Sep 27, 2018
- 26
- 15
Fungua kwenye setting then nenda kwenye updates and recovery
Check for updates
Download update
Make sure una internet bandle la kutosha
Wakiweka unitag mkuuWekeni link ya window 10 naitafuta sana
Its now safeHii update si ilifuta data za watu wakaisimamisha kwanza? nani ameupdate ? is it safe now?
niliisikia hii...ndio maana mpk sasa nasita ku updateHii update si ilifuta data za watu wakaisimamisha kwanza? nani ameupdate ? is it safe now?
Kampuni ya microsoft imefanya maboresho kwenye program endeshi (windows 10) ikiwa wameongeza baadhi ya vitu ambavyo kusema ukwel n very helpful. Baadhi ya maboresho yaliyofanyika ni kama yafuatayo:
1. Clipboard history
2. Search engine
3 .Dark theme ( ina muonekano mzuri sana)
4 . Snap & and sketch ( Hii ni tool mbadala ya snipping tool kwa ajili ya kufanya screenshort ya PC)
5. Task manager inaonesha battery usage ( Yaan n program gan ambayo inatumia chaji nying kwenye computer ako)
6 improved microsoft edge browser ( wameweka option ya kuzuia automatic display ya video unapoingia kwenye website yoyote)
Hzo n baadhi ya update ambazo nmeziona ...but imeongeza vitu vingi kwenye windows 10
Yo whatsapp new version 7.70
App ambayo hata mtu akifuta mesji we utaiona tu
Yo whatsapp new version 7.70
Kinachotakiwa ni kuzima window defender wakati wa kufanya cracking baada ya hapo mambo yanakua pouwa au unaweza kuweka exclusion kwenye hzo appsKama you’re crackers lover do not update this window ina security kali sana kiasi kwamba software from unknown publisher ziko blocked
Update if you’re a normally user
Kinachotakiwa ni kuzima window defender wakati wa kufanya cracking baada ya hapo mambo yanakua pouwa au unaweza kuweka exclusion kwenye hzo apps
Wakuu naombeni msaada wa mawazo na ushauri jana nimenunua Nokia Lumia 640 naombeni msaada niweze kuinstall whasapp,facebook na mengineyoKampuni ya microsoft imefanya maboresho kwenye program endeshi (windows 10) ikiwa wameongeza baadhi ya vitu ambavyo kusema ukwel n very helpful. Baadhi ya maboresho yaliyofanyika ni kama yafuatayo: