Naomba msaada shut off button haifanyi kazi labda utumie right click, au control-alt-delete then utumie button ya upande wa kulia ndio utaweza kuizima.
Nipo kariakoo wapi ntampata mtaalam competent na mwaminifu maeneo haya ? au nini cha kufanya ku solve tatizo ?
ukicheck task manager kuna lundo la activities haziishi
Ok kwenye window 10, unapotaka kuzima pc , kama kawaida kwenye task bar kushoto mwisho kabisa kuna button una click kawaida kwa kutumia "left button ya mouse" ndipo inakupa option ya shut down, HIYO SASA HAIFANYIKAZI

Papo "change settings that are currently unavailable" uki click hapo una un grey na zote 4 zina tick na uki save changes tu zinarudi zilivyokuwa mwanzo, please kama upo Dar nielekeze ulipo niilete au kama kuna workshop waaminifu nielekeze niwapelekee hasa kariakoo au mjini