Ahsante sana babu.Hujambo Mjukuu wangu? Unaposema ukizima PC charge inakwisha hili Suala haliingii akilini kabisa. Nadhani unatakiwa ku double check charging system ya computer yako. Hakikisha unatumia original adapter inayoingiza voltage stahiki kwa battery, badili battery ili kuweza ku trace matumizi ya charge. Windows ten has nothing to do with your PC charge.
Nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo.
Asante
Babu Kifimbo Cheza
Ahsante saba mkuu. Nitajaribu kufanya hivyo.Hili tatizo hata mm limenikumba ndg ,fanya hivi ujue kama kwako ni the same problem ,weka usb charge ya simu na simi yako iwepo oncharge ,kisha zima pc kama tatizo ni kama langu utakua pc imezima ila simu bado inapokea charge inamaana pc haijajizima kabisa sasa hold power button mpake pc izime kabisaaaa kwa kuona charge haingii kwenye simu yako hapo sasa inakua imezima sasa ,pole sana labda wataalam mtupe jibu tokea hapo ,ahsanteni
Sasa mm yangu hata kuconnect to internet haitaki kabisaaaa, nifanyaje mkuuTatizo la hapo siyo 0S (Operating system), update drive zako. Drive power state failure ni moja ya tatizo. Jinsi ya ku upadate drives
1. Nenda kwenye icon ya "c0mputer" (this pc) ktk window 8 na 10..
2. Right click ktk icon hiyo (this pc)
3. Click manage
4. Drive manager
5. Drives zenye warning sign (maranyingi inakuwa njano au nyekundu), click moja baada ya nyingine na uclick palipO andikwa update.. Ita update.. Hakikisha PC ipo kwenye internet
BBZ10
Hakikisha driver za internet zipo mkuu.Sasa mm yangu hata kuconnect to internet haitaki kabisaaaa, nifanyaje mkuu
Hili tatizo hata mm limenikumba ndg ,fanya hivi ujue kama kwako ni the same problem ,weka usb charge ya simu na simi yako iwepo oncharge ,kisha zima pc kama tatizo ni kama langu utakua pc imezima ila simu bado inapokea charge inamaana pc haijajizima kabisa sasa hold power button mpake pc izime kabisaaaa kwa kuona charge haingii kwenye simu yako hapo sasa inakua imezima sasa ,pole sana labda wataalam mtupe jibu tokea hapo ,ahsanteni