Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 347
- 558
CD zingine zinafanya Kaz Kama kawaidaMkuu itakua mlango wa cd unazingua. Unatakiwa utengeneze bootable flash disk hpo
Processor intel core 2duo cpu e8400mashine yako inauwezo gani kwanza
Jamani hadi leo unatumia CD kuinstall Windows mkuu? Si utengeneze bootable flash fasta tuHabar
Mimi sio mtaalam kabisa wa makompyuta,Nina siku ya pili hapa kwenye kompyuta yangu najaribu kupiga windows 10 lakini nakutana na changamoto hii.ikiwaka inakuja hivyo kwenye picha na nikiingia Boot menu na kuselect cd
Mara inawaka moja kwa moja
Wakat mwingine inaanza Kama unataka kukubali ina search then mlango wa cd unapiga kelele Kama alarm halafu linawaka Tena kawaida.
Siku ya pili sijainuka hapa naomba MNISAIDIE ndugu zangu nipo tayari kulipia garama pia maana huku kijijin nilipo Hakuna fund yupo umbali mrefu mno.
Najua wapo wajuzi mkuje wakuuView attachment 2662645
CD zingine zinafanya Kaz Kama kawaid
Bas hapo Tengeneza bootable flashCD zingine zinafanya Kaz Kama kawaida
Ni genuine, sasa unanishauri vipi mkuu wangu, hii 7 naona haifai tenacore2 unaiyonea mkuu ingekuwa corei5 kwenda juu pia hiyo window ni genuine
Nafanyaje au kuna link yoyote ya maelekezo unayoijua unisaidie.?Bas
Bas hpo Tengeneza bootable flash
Ukiweka hiyo window 10 kwenye hiyo mashine itakuwa nzito sana badili mashine iwe angalau Intel(R) Core i5-, procesar 3.00GHz, ram8, 64bitni genuine,sasa unanishaur vipi mkuu wangu.hii 7 naona haifai tena
Sawa je nikiweka 8 itafaa kwa matumizi yangu ya kawaida tu ya JF, blogger nk?ukiweka iyo windo 10 kwenye hiyo mashine itakuwa nzito sana badili mashine iwe angalau Intel(R) Core i5-,procesar 3.00GHz ,ram8,64bit
Hapo sawa lakini kama unapenda mambo yako yawe kwa uharaka zaidi jipige ununue angalau dasktop yenye uwezo niliokwambia hp itakuwa laki 3 tuhsawa je nikiweka 8 itafaa kwa matumizi yangu ya kawaida tu ya jf,blogger nk?
Poa sana nimekuelewaapo sawa lakini kama unapenda mambo yako yawe kwa uharaka zaidi jipige ununue angalau dasktop yenye uwezo niliokwambia hp itakua laki 3 tuh
Nina duo core desktop na ninatumia windows 11 ndugu tena vzr tu, nilihama windows 10 juz tuni genuine,sasa unanishaur vipi mkuu wangu.hii 7 naona haifai tena
Duo unaweka win10???Processor intel core 2duo cpu e8400
3.00ghz,ram 4 32bit
Angalia recomended os kwenye computer yakoProcessor intel core 2duo cpu e8400
3.00ghz,ram 4 32bit