Habari za saa hii hapa JF,
Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu bado haujafika (Muda huu akipima kipimo kinaonesha NEGATIVE) Je, anaweza kuambukiza kwa mtu mwingine endapo final itamuonesha ni muathirika?