nicolas150
Member
- Oct 16, 2016
- 26
- 15
macOS Sierra SkinPack
Ila ni nzuri kwa wanaopenda ubunifu kwenye pc zaoMara nyingi hizi skinpark hufanya pc kuwa nzito
Nimetoa angalizo tu hasa wale wenye pc za wasi wasiIla ni nzuri kwa wanaopenda ubunifu kwenye pc zao
Solution : baada ya ku install, reboot computer ,save theme yake, uninstall hiyo theme pack,reboot computer,apply theme uliyoi saveMara nyingi hizi skinpark hufanya pc kuwa nzito