Window mbadala wa XP?

dreamchaser18

Member
Joined
May 21, 2014
Posts
88
Reaction score
36
Habari wakuu naomba kuuliza window gani itafaa kwenye PC yenye RAM 1GB mbali na XP? na inawezekana kudownload window from net?
 
windows zote win xp, vista, 7 8 na 10 zinakubali pc yenye ram 1GB sema hazitakuwa na speed ya kueleweka. ram unaweza kuongeza lakin, ram ya 2GB unaipata around 15,000 hadi 20,000. pc yako ina processor gani?

kuhusu mbadala zipo distro za linux ambazo ni nyepesi zinakubali kwenye ram ya 1GB kama vile zorin os.

download hapa zorin, vyema pia chagua lite version sababu ni nyepesi zaidi

Index of /Linux/simosnet-livecd/zorin
 
Nashukuru kwa majibu .....processor ni 1.66GHz

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu naomba kuuliza window gani itafaa kwenye PC yenye RAM 1GB mbali na XP? na inawezekana kudownload window from net?
Tumia window 7 starter. Ni light version ya window 7. Ukitumia win7 professiona or ultimate kwa hiyo RAM mashine itakuwa nzito.
 
Heshima kwako mkuu,hivi kati ya is za Microsoft na hizi zingine mfano Ubuntu IPI ambayo in bora zaidi kwa matumizi ya kawaida
 
Haya ma linux mzee kama naona bongo yameshindikana yaani kila nikijaribu hayaeleweki maana application karibia zote tunazotumia hapa bongo ni " Microsoft oriented"
 
Heshima kwako mkuu,hivi kati ya is za Microsoft na hizi zingine mfano Ubuntu IPI ambayo in bora zaidi kwa matumizi ya kawaida
microsoft windows mkuu ndio bora, tena uipate latest version yaani windows 10.
 
Haya ma linux mzee kama naona bongo yameshindikana yaani kila nikijaribu hayaeleweki maana application karibia zote tunazotumia hapa bongo ni " Microsoft oriented"
yah ni kweli lakini kwa matumizi ya kawaida sio mbaya sababu ukishaeka browser kama firefox na media player nzuri umeshatimiza 99% ya matumizi ya kawaida.
 
MREJESHO.....Shukurani chief nilifanikiwa kuupgrade ram nilapa Ddr 2 2GB saizi nimepiga window 10 inarun vzur..na program zilikowa zinagoma kwenye XP saizi naenjoy
 
Ok,but kwa nini sisi wabongo bado tunakuwa watumwa wa windows kama zamani vicmu vodogo na kubwa?? me nadhani windows XP still iko the best na win NT hizi nyingine ni danganya macho kama za mrembo mzuri lakini hajui kupika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…