window haitambui usb devise zozote

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Wakuu habar

msaada, window inaniletea hii messege hai recognise usb device, nimetumia nyia zote ninazozifahamu.

1. Nilikuwa nikibadili usb port zote nne hazikubali
2. Nibadili window
3. Nimekuwa niki set then kuboot bila mafanikio
4. Pana njia nilielekezwa kuingia sehem mbalimbali za settings haikubali, si modem, si simu, si flash haifanikiwi

msaada zaidi jamani, nashindwa kufanyakaz

zaid kuburn cd kwangu naona ngumu
 
Umejaribu ku update drive ? Wakati mwengine driver zina fail jaribu na hivyo .
 
Umejaribu ku update drive ? Wakati mwengine driver zina fail jaribu na hivyo .

Mkuu alta niliupdate kabisa, yaani inakubali, baadae inadisconnect, moderm haikai sana inadisconnect,

yaani window inakataa usb device
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…