Window gani bora zaidi?

Window gani bora zaidi?

Baba Jadecah

Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
37
Reaction score
22
Kama tujuavyo kuna windows mbalimbali kwa matumizi tofautitofauti, sasa nataka kujua ni window gani nzuri zaidi maana PC yangu ina window 8.1 lakini kuna baadhi ya software hazifanyi kazi mfano bluetooth nk.
 
Kwanza sio window .ni Windows nasikia ivyo.
Windows bora kabisa ni Windows 10 pro.
Usitumie home, basic Kuna features hazina.

Nimetumia windows zote kasoro windows 8 na 8.1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ina depend unatumia kwa matumizi yapi
na pia toleo la PC yako ni la mwaka gani mana kuna PC zingne utake usitake lazima utumie window 10 ili pc yako ifanye kazi vizuri na kuna PC ili pc yako ifanye kazi vizuri kulingana na driver inakulazimu utumie window 7
Window 10 wanasema bora 7bu ni latest
kwangu mm na shughuri nizifanyazo WINDOW 7 ndo bora kwangu nikitaka nitumie window 10 inanicost ghalama kubwa za uendeshaji kwanza inapenda kula bando kwa maupdate yake ambayo huwezi kuyazuia

Update unazuia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumia windows 7, 8 na 10. Windows 10 ni 7 ni nzuri. Siwezi kutengeneza hata ka app kadogo ila windows 8 ni ya hovyo, sikuipenda kabisa.
 
ina depend unatumia kwa matumizi yapi
na pia toleo la PC yako ni la mwaka gani mana kuna PC zingne utake usitake lazima utumie window 10 ili pc yako ifanye kazi vizuri na kuna PC ili pc yako ifanye kazi vizuri kulingana na driver inakulazimu utumie window 7
Window 10 wanasema bora 7bu ni latest
kwangu mm na shughuri nizifanyazo WINDOW 7 ndo bora kwangu nikitaka nitumie window 10 inanicost ghalama kubwa za uendeshaji kwanza inapenda kula bando kwa maupdate yake ambayo huwezi kuyazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna njia ya kuzuia hizo updates japo siyo rafiki sana kama wewe siyo mtaalamu. Ila hata mimi naona windows7 ilikuwa poa sana japo kwa sasa natumia 10 pro

inawezekana u unazuhia lkn inakwambia kabisa itaaupadate automatic
na kweli ikipata strong internet inapiga zaidi ya 10gb then baada ya hapo inatulia haisumbui kula bando lkn kwa ninazotumia window 10 kuupdate lazima
lbda uchokonoe file za security na ukichokonoa Window deffender ufunge na antvirus usiweke ama sivyo itaaupdate tu automatic

Daah kaaz kwelikweli. Sina utaalam sana na hizo settings za security mkuu
 
Fanya changes kwenye registry hilo halitotokea, japo ni hatari sana kama huna ufahamu wa kutosha

Back
Top Bottom