window defender vs antivirus!

SAMORE TOURE

Senior Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
116
Reaction score
9
naomba kujua wakuu! Hivi niki activate window defender nina haja ya kutumia anti virus?...coz natumia window defender kama mbadala wa anti virus!
 
naomba kujua wakuu! Hivi niki activate window defender nina haja ya kutumia anti virus?...coz natumia window defender kama mbadala wa anti virus!
  • Haujasema unatumia OS ipi. Hivyo kuna majibu mawili Ndio na Hapana
  • NDIO: Tumia antivirus kama unatumia windows 7 au Vista
  • HAPANA: Usiweke antivirus nyingine kama unatumia windows 8
Ufafanuzi
  • Window defender mwanzoni ilikuwa ni antispyware program tu kwa vista, win 7 na hata Win XP (Waweza download na ku_install katika XP)

Before Windows 8, Windows Defender featured antispyware capabilities. It included a number of real-time security agents that monitored several common areas of Windows for changes which may be caused by spyware


  • Ila katika windows 8 hii Window defender ni antivirus iliyo kamil hivyo hakuna hitaji laa kuweka antivirus nyengine. Ila kama huiamini windows defender kwamba ni bora katika kukabiliana na virus,basi unashauriwa ui_disable windows defender na kuweka hiyo antivirus ambayo unaiona ni bora. Usipo fanya hivyo inamaana utakuwa na antivirus mbili katika PC moja, Haishauri hata kidogo kutumia antivirus mbili. Jaribu kupitia haya maelezo hapa chini.


  • Waweza endelea kujisomea zaidi kwenye hii link.
    Code:
    [URL]http://en.wikipedia.org/wiki/Windows_Defender[/URL]
Karibu
 
Kama upo Win 7 install Microsoft Security Essentials hii ndo antivirus ya Microsoft, ni bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…