Window Apps

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Natumia simu ya HTC aina ya windows 7.
Baadhi ya Apps hazifanyi kazi kwenye hii simu.kama hii true caller inanitaka ni upgrade.
naomba muongozo na ni apps zipi bora kuwa nazo kwenye simu kwa matumizi ya kawaida tu.
 
Ingia store utafute upakuwe maana apps za aina hiyo zitakubali kwa Android Os.
 
jamani hivi ni chuo gani kizuri cha engineering tanzania,na kwa anaejua intake ya DAR TECH(D.I.T) ni mwez wa ngapi
 
Natumia simu ya HTC aina ya windows 7.
Baadhi ya Apps hazifanyi kazi kwenye hii simu.kama hii true caller inanitaka ni upgrade.
naomba muongozo na ni apps zipi bora kuwa nazo kwenye simu kwa matumizi ya kawaida tu.

Kwanini usi-upgrade OS kwenda Windows 8.1? Apps nyingi hazifanyi kazi kwa Windows 7
 
Karibuni humu0715378899,km upo dar,fika kkooo
 
kwa simu za wp7 os ya mwisho ni wp 7.8. ikisema inataka update inamaanisha huko, download zune kwenye pc then conect simu na usb utaweza ku update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…