window 8 RTM vs window 8 FINAL RETAIL

jumaa24

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
97
Reaction score
13
kuna tofauti gani kati ya hizi version! Window 8 RTM (release to manufacture) na hii final retail version kwa wale walio experience hii vitu? Coz forum nyingi nilizopitia wanasema ni the same but kwa nini ukubwa wa files ni tofauti?
 
Release to manufacture (rtm) maana yake kwa kifupi ni kuwa imeachiliwa ili watengeneza software/programs mbalimbali waweze kutengeneza software/progrms ambazo zitaendana na mazingira ya window hiyo(compatibility)...kwa hiyo hii RTM ni kama bado inakuwa kwenye matengenezo (kuna baadhi ya vitu muhimu bado vinakuwa sio compatible)..halafu sasa ndo hii Final retail inakuja..maana yake wameshapitia marekebisho yoote na kuvifanyia kazi hivyo inakuwa tayari kwa matumizi na mtu wa kawaida kabisa (retail) na ndo inaingia sokoni officially..
 

Umetisha mkuu! Thanx for info!
 
windows 8 RTM inakuwa OS iliyo kamilika na inauzwa kwa original equipment manufacturers OEMs mfano HP/DELL kwa volume licence

Windows 8 RETAIL pia ni Operating system iliyo kamilika ila inauzwa kwa watumiaji wa kawaida kutumia retail license

wakati wa ku install windows 8 product key unayo ingiza ndio ina determine version ya windows itakayo kuwa installed either ni RETAIL au RTM

utofuti upo kwenye leseni inayotumika, ila features ni zile zile.
 

Hivi kuhusu comapatibility ya software kama jamaa hapo juu alipoelezea?
 
vipi kwa sisi tuliocrack!! je tunatumia window gani.
 
Hivi kuhusu comapatibility ya software kama jamaa hapo juu alipoelezea?

ni sawa pc ikija na windows pre-installed huwa Mara nyingi OEMs wana customize kwa kuweka themes na programs zao mbali mbali.

Ila kwa ujumla hii ilifanyika windows 8 developers preview ilipokuwa released
Na mwanzoni kabisa wakati wanatoa windows 8 kwa select partners
 
vipi kwa sisi tuliocrack!! je tunatumia window gani.

Kwa windows 8 kwa ajili ya pc ina version 2.
1.windows 8
2.windows 8 pro
hii ime andikwa kwenye system properties

Ila kama una ulizia RTM/RETAIL
Hii kutegemeana na product key utakayo tumia uta iona wakati una install windows 8 inapofikia sehemu ya ku accept end-user agreement
 

Mkuu hapa umenirudisha tena, kwa hiyo system inakua moja ila keys ndo ina determine version, hapa kuna uhusiano gani na hizi window 8 na pro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…