abdulshacur
Member
- Sep 8, 2019
- 6
- 2
Wakuu mtu mwenye utaalam na winbox ama upatikanaji wa mikrotik router au SOYEA link naomba anitafute.
Toa namba tutafutane mkuuuWakuu mtu mwenye utaalam na winbox ama upatikanaji wa mikrotik router au SOYEA link naomba anitafute.
Pia nahitaji mtu wa configuration ya D-Link kwenye winbox kama unaweza njoo tufanye kazi
NimekutumiaToa namba tutafutane mkuuu
Hapana na ndioUnatumia internet cable?
Hizi Routers tunazo hapa job walitufungia hawa kampuni ya Fiber LIQUID ni kisanga zinakufa hovyo tu jana tu moja ime miss behave haifanyi kazi tena ila ni nzuri zina security kali na ngumu kuzi configure tofauti na routers zingine..Wakuu mtu mwenye utaalam na winbox ama upatikanaji wa mikrotik router au SOYEA link naomba anitafute.
Wapi nipe namba Zakokama unataka Mikrotik router unapata