shehani dege New Member Joined May 15, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Oct 31, 2018 #1 Anayefahamu wimbo wenye maneno (nyie wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa tupendane ndio heshima ya ndoa) naomba anijulishe band iliyoimba na jina la wimbo wenyewe maana naupenda na nahitaji niuweke kwenye simu yangu
Anayefahamu wimbo wenye maneno (nyie wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa tupendane ndio heshima ya ndoa) naomba anijulishe band iliyoimba na jina la wimbo wenyewe maana naupenda na nahitaji niuweke kwenye simu yangu