Wimbo Wa Ukimwi Ulioimbwa Na TID

Wimbo Wa Ukimwi Ulioimbwa Na TID

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
Poleni na mihangaiko wadau wa jukwaa hili.

Miaka ya nyuma TID aliwah kutoa wimbo kuhusu Ukimwi.Kuna mtu anaufahamu jina au mtu mwenye nao anaweza share na sisi hapa.
 
Poleni na mihangaiko wadau wa jukwaa hili.

Miaka ya nyuma TID aliwah kutoa wimbo kuhusu Ukimwi.Kuna mtu anaufahamu jina au mtu mwenye nao anaweza share na sisi hapa.

Aliimba Na Soggy "Gonjwa linatisha" kama hujaupata nipm namba yako!!
 
Back
Top Bottom