nzwalile the great
Member
- Aug 9, 2007
- 8
- 4
kwani huwezi kupost thread yako kwa lugha ya kiungwana? nyinyiem ndiyo nin? kwan ukisema ccm utapungua damu? kumbuka ccm haina ugomvi na wewe wala ukawa, pia bila ccm kuwepo hata hao ukawa wasingekuwepo! wew pia ucngekuwa huru kupost utakacho bila bughuza. mm ni muumini wa serikali tatu na nimwana ccm. ccm imevamiwa tu na mafisadi lakn sera zake hakuna chama kinaweza kutia mguu.