Dumbuya
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 595
- 876
Wanajukwaa,
Nimekuwa nikijiuliza siku nyingi kuhusu huu wimbo wa Radio one hivi ni nani kaimba?
Hii jingle ni nzuri sana na nimejikuta kila mara nikijiimbia hata mwenyewe muimbaji anataja mkoa na frequency ya sehemu husika mf 106 Tanga, 93.4 Singida, 85.3 Dodoma n.k
Kwa wenye kufahamu ni nani kaimba huu wimbo? Na pia kwa nini redio kama Clouds wasijifunze kutoka kwa hawa Radio One yaani tangazo zuri siyo lazima usasa mwingi au mahip hop mengiii mwisho watu wanakereka na makelele.
Mtafuteni huyu msanii mumpe ulaji siyo kila siku wale wale.