American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,545
[emoji52]Ccm no 1 arusha hahahaa
Msaidie Kuanzisha Mada ya aina hiyo... acheni aina hii ya Uchangiaji Mada. Huwezi changanya Msiba na Sherehe...Weka na zile alizoimba kipindi cha kifo cha Nyerere.
Msiba uko Wapi sasa nyie ndyo wale mnaoshikilia dhana kwamba marehemu hasemwiMsaidie Kuanzisha Mada ya aina hiyo... acheni aina hii ya Uchangiaji Mada. Huwezi changanya Msiba na Sherehe...
FISIEMU Hoyeeeeeeee!Namba 1 kwa wizi
Huu ApaWeka na zile za CHEDEMA. Msitupige Mabomu