kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
Wandugu kwema? Heri ya krismas, yaaani nakwambieni kiukweli wimbo wa darasa" muziki" raia wameuelewa kwa kweli, hadi kina mama watu wazima wanaucheza kwenye kumbi za pombe, Hamna cha kajiandae wala kokoro, mambo ni haya tu acha maneeno weka muziiki, dume suruali unapigwa kwa mbaaaaali kwa uchunguzi wangu wa harakaharaka wananawake wanaonekana hawaupendi sana wimbo wa dume suruali sijajua ni kwa nini, wadada humu ebu tusaidieni