Leo nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bongo Dar es Salaam wa Prof. Jay nikiwa nahusisha na hali ilivyo sasa na ilivyokuwa kipindi huu wimbo umetoka, I think ni early 2000's; vingi vinavyotajwa kwenye mashairi ya wimbo havijabadilika saana.
Je, ni sahihi tukiuita ni wimbo unaoishi?