richie hassan Member Joined Jan 10, 2013 Posts 52 Reaction score 9 Jan 20, 2018 #1 Huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana
Huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,567 Reaction score 29,684 Jan 20, 2018 #2 Mkuu pole na kazi hiyo.Ugambo una changamoto zake.
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Feb 15, 2019 #3 richie hassan said: huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana Click to expand... umenikumbusha mbali, nakumbuka sana video yake. ila sina pa kuupata.
richie hassan said: huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana Click to expand... umenikumbusha mbali, nakumbuka sana video yake. ila sina pa kuupata.
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,271 Feb 15, 2019 #4 richie hassan said: huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana Click to expand... [emoji4] [emoji4] unataka uuweke status whatsap kufikisha ujumbe? Ukiukosa kabisa kabisa tafuta ule mwingine "mugambo wanaruka na kukanyagana" sijui ni wa Juma Nature Sent using Jamii Forums mobile app
richie hassan said: huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana Click to expand... [emoji4] [emoji4] unataka uuweke status whatsap kufikisha ujumbe? Ukiukosa kabisa kabisa tafuta ule mwingine "mugambo wanaruka na kukanyagana" sijui ni wa Juma Nature Sent using Jamii Forums mobile app