IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 361 Aug 30, 2013 #1 Wadau naombeni msaada wa jina kamili la wimbo huu na aliyeuimba.Nimeona video yake hivi karibuni lakini sikubahatika kujua jina la wimbo. Wimbo una kiitikio "Soma,soma soma...wazuri bado wazaliwa e"
Wadau naombeni msaada wa jina kamili la wimbo huu na aliyeuimba.Nimeona video yake hivi karibuni lakini sikubahatika kujua jina la wimbo. Wimbo una kiitikio "Soma,soma soma...wazuri bado wazaliwa e"
log10 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 439 Reaction score 361 Aug 30, 2013 #2 Saut sol SOMA soma