wakizungu auMambo vipi?
Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba, " napotapata mpenzi wangu haupo wala sikuoni, bicoz I love you", harafu ghafla anatoka ndani ameshika kashikilia mabaloon au maputo akakimbia nayo mpaka Maeneo ya baharini akafika pale akayaachilia yakapaa angani?
Nb: nahisi ntaupata kwa kuambiwa jina tu
Ni wimbo mzur sn na hauchujiAsee shukrani sana mkuu 🙏 ngoja niutafute nilitokea kuukubali sa
Ushaudownload?Wameimba Kiswahili mkuu bonge moja ya wimbo
Ah hyaaaaaBado mkuu videoder nao wanazingua nataka nidownload videmate
Eeeh mkuu wanakuja 😅🤣 aisee hii ni zoezi la Squid game kabisa🙌 maana sio kwa beat hiyo ila watakujaNa mimi natafuta wimbo ila jina lake silijui. Najua beat yake tu.
Beat yake inapigwa "ndu ndu nda ka cha chiki chiki dum dum che pa paaapaa", nisaidie wadau niweze kudownload. Bonge moja la ngoma hilo.
nyimbo ya alhaji hiyo bob si ndo anaimba gudu yesa mayesa yesa sesabele ehe alhaji kudidi ndum [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mimi natafuta wimbo ila jina lake silijui. Najua beat yake tu.
Beat yake inapigwa "ndu ndu nda ka cha chiki chiki dum dum che pa paaapaa", nisaidie wadau niweze kudownload. Bonge moja la ngoma hilo.
Mambo vipi?
Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba, " napotapata mpenzi wangu haupo wala sikuoni, bicoz I love you", harafu ghafla anatoka ndani ameshika kashikilia mabaloon au maputo akakimbia nayo mpaka Maeneo ya baharini akafika pale akayaachilia yakapaa angani?
Nb: nahisi ntaupata kwa kuambiwa jina tu
Kiongozi Uko vizuriHuo wimbo unaitwa close to you, kaimba mdd anaitwa erica lulakwa
Kawaida tu mkuu, huo wimbo hua naupenda sn.Kiongozi Uko vizuri