Kuna nyimbo za zamani zina hisia kali sana. Nimeukumbuka ule wimbo wa taarab uliokuwa unatumika kama kibwagizo kwenye taarifa ya BBC Idhaa ya Kiswahili.
🎼"BBC idhaa ya Kiswahili kwa habari motomoto kweli"🎶
Naomba kama kuna mtu aliyenao anitumie au anielekeze jinsi ya kuupata.
Nani aliimba huo wimbo?