Acheni udaku! Mzee wa watu amekimbiza kijiti na kakipasisha kwa mtu mwingine. Mnataka asikike iweje? He was a useless person na kajijua ndio maana kaona inatosha
Kamuulize ndugu yake msekwa aliyempendekeza! Ni wengi watakaotimuliwa kama yeye kutoka ccm. Tusubiri kidogo tu. Anayefuatia ni nape pamoja na lile jamaa la singida
Kamuulize ndugu yake msekwa aliyempendekeza! Ni wengi watakaotimuliwa kama yeye kutoka ccm. Tusubiri kidogo tu. Anayefuatia ni nape pamoja na lile jamaa la singida
Nenda k'koo kwa wale vijana wanaoingiza nyimbo,video nk kwenye cm,flash n.k watakupatia chochote unachotaka.Nilikuwa nataka nyimbo za fally,werrason,twanga n.k nimepata zote.Ushaur tu
atasikika vipi wakati cc walishindwa kuchukua ushauri wa Mh Deo filikunjombe kuwa watu waache kuingilia kazi zao lakini hawakusikia, matokeo yake mzee wangu ana kosa kazi za kufanya maana kazi zake wamepewa wakina juliana shonza na mtela mwampamba. maskini mzee wangu willi kwaisha habari yako.