Man, hivi wewe ni wa wapi? Kwanini ukurupuke ku-respond kwa post usiyoielewa? Una akili timamu wee?Kama ulikua unaelewa na vile ulikua ukieleza katika post yako yakwanza na mimi
nikajibu bila kuelewa ambacho ulikua umeanndika, kama mwana elimu ungenifafanulia.
Sielewi unataka nifahamu nini kutoka kwa mtu anayejibu post asiyoielewa. Uko mzima kichwani?Wewe ndie haukufahamu vile nilivyo kua nikisema na kudai sijui, inner box, outer
box, jameni, iko nini?
Siko hapa kufundisha. Kaa uliona huna input au mawazo kuhusu idea zangu, ungeweka ktk mfumo wa maswali badala ya kujitia ujuaji wa kitu usichokielewa. Ebo.Lakini inaonekana kama ulikua ume kram somewhere. Sababu? Hauwezi kufafanulia mtu mjinga kama mimi, eee?
Naona unaweweseka na kuanza kuzusha kila linalokujia kichwani. Chuki yangu ni ipi?Kuelezea vile ninavoona ? Wee kumbe ni bure kabisa, yaani HOVYO.Chuki yako haitatatua shida za mwafrika. Unachuki kwa watu hauwajui ama kua elewa hata hawana ubaya wowote nawe.
Ni wapi nimeomba msaada? Nioneshe ni kwa post ipi nimeomba msaada? Wewe ni mjinga kabisa yaani sikutambua mapema. Yaani unadhania nilikua na shindana na wewe? Makubwa haya!Sasa watafuta msaada ati wengine wakusaidie, ungekabiliana na mimi, ki fikra na kielimu na kuacha wengine waamue.
Hilo ni tatizo lako na inaonesha si tu hukujua hilo, bali hujui mambo mengi na huko makini.Sikua nime elewa ku navigate katika hii site mara ya kwanza na sikujua kile nilikua nikiandika kilikua chaenda wapi na ndivyo nikarudia hayo umenakili hapo juu na sikua niki kukwepa.
Nimewatusi kwa kusema a chunk of people have nothing? Wewe huna akili kabisa. Sasa unataka kusema majority ya wakenya ni matajiri na wapo well-off?Katika post yako yapili, uliwatusi wakenya sana lakini sikuona chochote kikubwa
kwani kama nilivyo sema hapa ni mjadala.
Najilaumu kwanini nilichelewa kutambua kuwa wewe ni mjinga, tatizo lako unaongelea matukio, minajadili misingi ya fikra. Ndo maana hukunielewa tangia mwanzo, maana akili yako ipo kwenye kuvuta kamba, unadhania nipo hapa kupigia chapuo ukenya na Utz. You are total loser, na najilaumu kupoteza muda wangu kujibu post zako zilizojaa utumbo. na matapishi.Mpaka sasa si jasema chochote kibaya kuhusu watanzania na nina jua watanzania sana tangu utotoni mwangu kwamba ni watu wazuri na wanishangaza sana.
Unazungumza as if unajua nilipo. Nitembelee Kenya kwa minajili ipi kwanza?Unafaa utembelee Kenya ili ujue kile unaongelea.
Nadhani utakua umejifunza ku-approach mjadala kwa kuelewa wanachopost wengine badala ya kuleta utumbo from nowhere.Sina ubaya nawe. Ama ni outer box na wewe inner boksi, he he he.
Ama tena sija kuelewa?
Buda achana na Abdulhalim, atakuchanganya tu na hiyo kiswahili yake na kukuuliza ni kipi kipya? hana lolote huyo, mkulie vako.
Nomasana acha uongo and if your fellow kenyans wakisikia that you dont mind who own what, they will stone you mpaka ufe.
Through out your country people are screaming about the unjust distribution of the national wealth. Few people are enjoying on the large tract of land while the mass are squatting and tenting along the roads, halafu wewe nomasana unasema you dont care, nani kawaloga?!!!
I always say you guyz be wise in understandaing things. So for you nomasana employment is enough to feel that you are incorporated in the economy. Don't you know that most of the employees in those establishments are cheep labourers.
Much has been said in this jukwaa on how the westeners have been exploiting Kenya and the entire continent. Now what to discuss is how to get rid of that unyonyaji, incorporate our people in the economy.
nomasama, smata na wengine, remember ''CAPITALISM TRIUMPHED IN WEST BUT FAILED EVERY WHERE''. Hernando de Soto.
So we need to find out our own way as AFRICANS to distribute our wealth in good manner so as to elliminate the CLASS STRUGGLE which is latently boiling in our societies.
I remain.
Eliakeem.
For those who worship Washington Consensus (of course and also British) can't understand Nyerere school of thought. Because they cultivating the selfishness and arrogance ideas.
The continental Europe seem to apply Nyerere ideas in modern way. Countries like as Germany, The Netherlands, and Scandinavia are making sure that every citizen is not left out of the berry jar. Every one should get involved in economy.
But my concern is how we Africans can implement a sociolistic market economy (china (SINO) technoque), a high measure of freedom to involve in economic activities with a graduated government internvesion.
I remain.
Eliakeem.
- Che Guevara.The laws of capitalism, which are blind and are invisible to ordinary people, act upon the individual without he or she being aware of it. One sees only the vastness of a seemingly infinite horizon ahead. That is how it is painted by capitalist propagandists who purport to draw a lesson from the example of Rockefeller - whether or not it is true - about the possibilities of individual success. The amount of poverty and suffering required for a Rockefeller to emerge, and the amount of depravity entailed in the accumulation of a fortune of such magnitude, are left out of the picture, and it is not always possible for the popular forces to expose this clearly ... It is a contest among wolves. One can win only at the cost of the failure of others.
Whose coffers? wewe na nani?....Unless familia yako ni ya Kenyatta, Moi or Kibaki...watu
wengine wote wanakula vumbi na jasho tu. Hebu acheni longolongo yenu hapa.
Abdulhalim kila mtu humu jukwaani na mawazo yake kwa hiyo usilaumu mtu wewe kinachotakiwa utowe mawazo yako na Elimu yako na fikra zako sio kumponda mtu eti mawazo yake sio mazuri hamkusoma wote shule moja Mkuu Abdulhalim kila mtu ana akili zake na mawazo yake hapa tupo kuelimishana katika hii forum sio kukashifiana na kutoleana maneno ya matusi hatutafika tuendako tuwa elimu yako watu waione MkuuKuna malimbukeni humu wanakimbilia ku-respond posts bila kuelewa kinachozungumzwa. Inashangaza. Watu tunajadili idealized concepts, wao wanajadili matukio.
Samadi tupu.
??Abdulhalim kila mtu humu jukwaani na mawazo yake kwa hiyo usilaumu mtu wewe kinachotakiwa utowe mawazo yako na Elimu yako na fikra zako sio kumponda mtu eti mawazo yake sio mazuri hamkusoma wote shule moja Mkuu Abdulhalim kila mtu ana akili zake na mawazo yake hapa tupo kuelimishana katika hii forum sio kukashifiana na kutoleana maneno ya matusi hatutafika tuendako tuwa elimu yako watu waione Mkuu
Nimekuelewa tuelimishe sisi wingine hatujaenda shule Ngombaru Ehhhhh No Education??
Tupo pamoja kweli weye? Lakini basi yaishe.
Ok basi yaishe sheikh.Nimekuelewa tuelimishe sisi wingine hatujaenda shule Ngombaru Ehhhhh No Education
more power to you mr. kenyan expert.
first of all i do not think you as a tanzanian you can tell me sh*t about the way we kenyans think and why we as kenyans think they way we do. therefore you calling me a liar makes you look very stupid and naive.
i do not understand why some tanzanians do not accept that kenyans just have a different way of thinking. kenyans have mastered the art of surving because WE DO NOT HAVE A GOVERNMENT THAT CAN TAKE CARE OF "US" SO A COMMON MWANANCHI HAS TO FOCUS ON "ME" FIRST AND OTHERS SECOND. thats just how we do, you might not like it or understand it but thats just the kenyan way. it is our strength and it is our undoing but thats just who we are.
I swear they cant understand, these are simply people who expect their goverment to do everything for them, we are different, we have had no stable leadership for almost three decades, so you should expect us to roll differently.
You will never come to understand us, we have different ideologies man, you have socialistic ideologies where you interpret stuff as yours collectively, I have a capitalistic ideology where i want something to be mine, not ours. Thats why I bust my a.ss crossing bordersl;ooking for money and I stay here at JF fighting for the EAC, which for you, my close minded brothers, you see it as a pimped ideology by multinational companies, this might be the case, but why should I care if am making a kill, why?
You damn right. You are still clueless.
Mimi siongelei matukio kaa wewe, naongelea misingi ya fikra. Idealised concepts. Wewe unajadili matukio. Ndio maana hatuelewani humu, nakushauri acha kujibu post zangu maana huzielewi.
Misleading, misleading,misleading.
Can any peson back up what you say with facts.
Kenya had a budget of kshs 800 billions last year.
95% of this money was achieved locally.
We do not have any usefull minerals and all that is
taxation from Kenya people and
companies.
Do you know what was the budget of Tanzania last year?
Do you want me to tell you?
So you want to mean that the 800b came from Kenyatta, Moi and Kibaki family.
Aiiii, wacha maurongo zako, hata kama.
I wish it was that way but unluckily, it is Kenyans who raised
all that money though overtaxed but we alwys managed.
It is good that we do not have any those kind of minerals you
have in Tanzania.
We would be either very rich or poorer than we are.
Kwa matusi, you are an expert, that i agree. Matusi huja kama hauna la maana la kusema.
Umepoteza wakati mrefu kwa kuandika upuzi mtupu na hauna mchango
wa maana na i really regret to be engaging a person of your calibre.
You are just a fanatic, that is UJAMAA FANATIC, and who ever disagree with
you, you shower him with matusi.
Kama unafikiri unaniudhi, ha ha ha, umepotea kwani waendelea to display the kind
of your thinking.
You are just like a tick, KUPE, sticking on a cow not realizing that it died long time
ago. Socialism died long time ago.
Even TZ has being moving away from it.
Wake up brother, i feel sorry for you, nobody talks about socialism this days.
Ati mtu wa fikra, fikra ngani hizo za 1960 na 70's.
Unawapotosha wanainchi kwa hizo fikra za kitoto. Umepitwa na wakati.
I thank the person who invented the internet. But people of your class are a big let down to this great invention.
Somebody should take you to a class and give you some lessons on other things
apart from socialism.
Why did i pick to answer your first post, because i thought i might help you with some kind of knowledge for i really felt sorry of what you had written.
It was my duty to help a fellow african like you. You really need some help.
You completely know nothing about the subject of economy.
You were trying to equate foreign investent with ***** ambapo invester ana amka na kwenda zake kwao na mali alizopata.
Nilikujibu na mfano wa Kenya telecom lakini sababu akili zako zimeshikanishwa na kufungwa jela na ujamaa, na haukuelewa nilicho kua nikisema ukaanza kunishutumu ati sikuelewi.
Post yako ilikua kama imeandikwa na mtoto wa miaka, hata sikumi, wa miaka mitatu. So there was nothing that complicated, just childishness.
Ati waongea in the box, ha ha ha ha, kichekesho bwana weeee.
You really use very cheap tactics. You are pathetic. Kwanini wengine walinifahamu nilichokua nikisema?
Nina changia katika five african forums and i'm not new in these things.
Kuja Kenya na nitakungoja mpakani na nikusaidie kuvuka bararara, ninajua umezoea baraba ambazo hupitiwa na baiskeli tuu.
Mawazo yako, it gives me an image of a person you are.
Mtu ni akili na kile kinacho toka katika kwa mdomo wake, it show the kind of a person you are.
I challege you again, tell us the success of UJAMAA TANZANIA.
Ama wewe ni expert wa MATUSI TUU na UJAMAA ambao hauwezi kuelezea.
Ati you are about to INVENT A PERPETUAL MACHINE, ya ku perpetuate
UJAMAA?
You are a bad dreamer. The Russian could have done that with the technological
know how. Wake up and live.
Little knowledge is more dangerous than having none.
Ulisoma tujivitabu za ABU BIN AWAS na sasa wajtia ati wewe ni mwana ELMU.
Eee bwana inner box? Jibu niku jibu.
Who cares????Nimekuelewa tuelimishe sisi wingine hatujaenda shule Ngombaru Ehhhhh No Education
Abuu do the needful please.
Kaa mtu hana input post yake ifutwe. Maana kuna watu wanataka kuipindisha hii thread kwa kusudi iende 'kusikojulikana'.