Mkuu tatzo sio wakenya ama waganda bal n cc wenyewe....tunazengua haswaa....watanzania kwa sasa watatoa info.na Kupga kelele kwenye issue ya viongoz na wanasiasa...kumbe information kama hiz tulipaswa cc watanzania tuz spreed kwa Kas na nguvu kubwa..salaleeeee hata aibu hawanaaa this is too much kabisa hasa hawa jamaa Zetu pande za Nai mbna sijawaiona Mtz Akisema Victor Wanyama katoka Tz hebu jifunzeni kusifia vya kwenu na sio vya jirani,Mount Kilimanjaro,Diamond,Darasa,Presidaa,Serengeti national park,Sammata hao tiyari mlitaja wa kwenu.
hatimaye hata mm mtasema nimetoka Nai.
Uasishangae hata Bashite wakisema ni Mkenya.!!!
Wamegeuza Tanzania shamba la bibihizi nchi za jirani ni viazi,Will Smith yuko Tanzania ila awaachi kujidanganya kuwa yuko nchini mwao. Wajinga.
Acha uongo.hata aibu hamuoni khaaaaa.yaani ninyi sijui mkojehehe he has come to Tanzania and Kenya
Wamezidi jamani.salaleeeee hata aibu hawanaaa this is too much kabisa hasa hawa jamaa Zetu pande za Nai mbna sijawaiona Mtz Akisema Victor Wanyama katoka Tz hebu jifunzeni kusifia vya kwenu na sio vya jirani,Mount Kilimanjaro,Diamond,Darasa,Presidaa,Serengeti national park,Sammata hao tiyari mlitaja wa kwenu.
hatimaye hata mm mtasema nimetoka Nai.
Weka picha akiwa Kenya.Smith alikuwa misri hiyo juzi, na baadaye akatua jkia through ndege ya egypt air( as per the flight manifest). Later akaja huko bongo so blah blah nyingi Upuzz tu View attachment 478302View attachment 478303
Ninyi ndo wajinga wa mwisho.msiojielewa.mnajifanya wwnyewe.ndo mnajua kujitangaza alafu hamna kitu.yule chizi wenu ameenda us.amevaa kikaptura madai yake anaitangaza Kenya. Watu wana mcheka tu.If at all African countries are to develop, This silly inferior mentality has to stop.
Sasa ushawai skia marekani ama uingereza wakibabaika mkitembea kwao?? Yet here we are arguing whether or not he's in Kenya, Tz ama UG.
Im sure he's looking at us Africans kama wajinga. Huu ndio ukoloni wa Akilini.
If your mind is conquered, you are going nowhere.
Hawa jamaa.ifike mahali tuwaambie ukweli.wamezidiView attachment 478380 yuko serengeti na chanelimani mdau mkubwa wa urembo duniani mmiliki wa vipodozi vya imani
Kwa Wizi!! Hamna mpinzani!Kenya twaigaragaza dunia nzima eeeh,usicheze na wakenya,
Wao hawana shida, shida tunayo sisi na kujifanya tumeridhika bila kuitangaza nchi yetu. Ona tulivyo maboya, kila kitu cha kwetu lkn kinatangaza wageni. Shame on ussalaleeeee hata aibu hawanaaa this is too much kabisa hasa hawa jamaa Zetu pande za Nai mbna sijawaiona Mtz Akisema Victor Wanyama katoka Tz hebu jifunzeni kusifia vya kwenu na sio vya jirani,Mount Kilimanjaro,Diamond,Darasa,Presidaa,Serengeti national park,Sammata hao tiyari mlitaja wa kwenu.
hatimaye hata mm mtasema nimetoka Nai.
mpumbavu mkubwa wewe ....will smith kukuja tanzania unafaidika vipi? last week Alaine was hanging out in Nai...A few months ago Mark Zuckerberg, Chris Brown etc...did you see us behaving like fools?Acha uongo.hata aibu hamuoni khaaaaa.yaani ninyi sijui mkoje
Ni kweli kabisa mkuu, vichwa vya watu vimefurika siasa za mwaka 2020 badala ya nchi. Kila uchao ni siasa,siasa, siasa baasi!!! Ovyo kabisa.Mkuu tatzo sio wakenya ama waganda bal n cc wenyewe....tunazengua haswaa....watanzania kwa sasa watatoa info.na Kupga kelele kwenye issue ya viongoz na wanasiasa...kumbe information kama hiz tulipaswa cc watanzania tuz spreed kwa Kas na nguvu kubwa..
IL dunian watambue tanzania tupo na waongezeke na kukuza sector ya utalii... Nackia wakna mareh stv jobs, na Tajiri bil gate walishawah kufka hapa ila watanzania kwa upeo wetu mdogo tuna value siasa zaid kuliko maisha mengne...poor tanzania
Mbona mnapenda ugomvi sana.mipaka ya nchi iheshimiwe.kaja Tanzania tulieni.siku akija kwenu tutatulia.Mbona wabongo mnalialia, haya madogo tu! Will Smith anatembelea Africa nzima, vipi nyinyi. Mambo ya Olduvai Gorge na Kilimanjaro ni mengine sijui mnayaleta hapa mbona?? Hao wanamitindo na waimbaji wengi wamesomia Kenya na kuwa kama Wakenya, shida gani hao wakijitangza wa Kenya ama kutajua kuwa wakenya, yaani, nyinyi hamna lolote la tetesi hapa!!
Kulialia tu!!
Haya hao wote waliokuja Kenya. Ulimuona mtanzania kashoboka kuandika kwamba wamekuja tanzania?mpumbavu mkubwa wewe ....will smith kukuja tanzania unafaidika vipi? last week Alaine was hanging out in Nai...A few months ago Mark Zuckerberg, Chris Brown etc...did you see us behaving like fools?
Tanzania si ya serikali wala ccm.ni yetu.kuilinda,kuitetea,ni jukumu letu.Ni kweli kabisa mkuu, vichwa vya watu vimefurika siasa za mwaka 2020 badala ya nchi. Kila uchao ni siasa,siasa, siasa baasi!!! Ovyo kabisa.