Mkuu ndio haswa nia yangu ili mantiki yao ya wilaya maskini ife. It was sarcasm. Nimetaja hizo wilaya kwa makusudi . Zote zipo chini ya CCM chama kubwa.
Hivi kule kwa Zito na Kafulila ni wilaya tajiri zile? Kilwa nayo vipi? Au kwa Tundu Lissu kuna utajiri gani? Labda uelewa wako wa wilaya masikini ukoje?