LOSEJMASAI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 332
- 856
Leo wikiLeaks wameweka kwenye Mtandao wao Documents mbili kutoka Shirika la Kijajusi la Marekani kuonesha jinsi gani Marekani iliingilia Uchaguzi wa Ufaransa, Nchi nyingine kwenye List hiyo ni Libya, Ivory Coast na Ujerumani.
WikiLeaks - 2012-CIA-FRANCE-ELECTION
WikiLeaks - 2012-CIA-FRANCE-ELECTION