Sielewi ni kwanini mmeamua kutumia definitions ngumu namna hii kwa hili neno 'WIFE'! Nafikiri tungeheshimu japo kidogo mchango mkubwa wanaotoa ndani ya familia kwa kutuzalia, kututunza, kutufariji, kutuburudisha, kutuhudumia nk. Udhaifu upo kwa baadhi yao kama wanadamu na kama ilivyo kwetu pia maana sisi sote hatujakamilika.