wife material

MAN PC

Senior Member
Joined
May 1, 2013
Posts
108
Reaction score
18
kuna rafiki yngu wa karibu amemalza chuo na alikua na mchumba wake bt mschana huyo ameingia kwenye uhusiano na mtu mwingine, jamaa ameamua atafute mke mwingine. alie na vigezo vya kua na mke ajitokeze. This is serious
 
aiseee, halafu unaandika wife material.......yeye jamaa kwani ni husband material, mbona kakimbiwa??? au yule aliemkimbia ndio sio material.............plz fafanua!!!!!
 
kwa hiyo we ndo pick pick posta wake au???
 
kuna rafiki yngu wa karibu amemalza chuo na alikua na mchumba wake bt mschana huyo ameingia kwenye uhusiano na mtu mwingine, jamaa ameamua atafute mke mwingine. alie na vigezo vya kua na mke ajitokeze. This is serious

yah man......wewe mwagika....hapa hakuna anayekujua......taja vigezo....tujimuvuzishe.......unataka kwenda Namtumbo unapitia Mwanza.....why......
 
kuna rafiki yngu wa karibu amemalza chuo na alikua na mchumba wake bt mschana huyo ameingia kwenye uhusiano na mtu mwingine, jamaa ameamua atafute mke mwingine. alie na vigezo vya kua na mke ajitokeze. This is serious

Unajua bwana MAN PC binadam jinsia zote mbili tunatofautiana tabia. Kila mtu anatabia yake na bila shaka huyo rafki yako anatabia zake na vijitabia vyake ambavyo anahitaji atape wa aina yake na mwenye tabia zitakazofanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…