Depends ..Hahaha lolzHuwa nasemaga.But i don't think i will be able to do it.LolzToo harsh....Will u do that AD?
Depends ..Hahaha lolzHuwa nasemaga.But i don't think i will be able to do it.Lolz
Hahahaha lolz i don't think so.... Is tooooooo many around Teh teh teh 🙂Hahahaaa....and you will immediately miss it....
Hahahaha lolz i don't think so.... Is tooooooo many around Teh teh teh 🙂
Well si dhani kama kuna faida ya maana.. Ila hasira nilizo nazo zitaisha halafu baadaye Tunarudi kwa Majuto mjukuu lolz..Hivi ukiharibu unafaidika na nini? Wengine wanavunja vyombo n.k.
Hahaha..We utakosa nini dear..heri wote tukose aisee...
Heheeee si hiyo iliyochopiwa?! mweeh...Hahaha..We utakosa nini dear..
Hahahaha loooohhUnadhani mamito ataikosa kweli??Heheeee si hiyo iliyochopiwa?! mweeh...
Eeh, hebu fikiria, kama ilikuwa inaibwa kwa pembeni basi tena, mmiliki wa halali basi tena, na yule mshikiliaji (sijui ni mmiliki orijino ) naye kwisha habari yake....heheeee!Hahahaha loooohhUnadhani mamito ataikosa kweli??
Tema mate chini aisee....U are not planning a chop...are u?
Tema mate chini aisee....
lakini aliyechopiwa ndo amepata hasra jumla kabisa!
MmhhhAlie kosa hapo ni mmliki original tu.. Hao wengine walikuwa wana azima tu..Na alie nunua ni mmoja tu (mke)Teh teh teh 🙂Eeh, hebu fikiria, kama ilikuwa inaibwa kwa pembeni basi tena, mmiliki wa halali basi tena, na yule mshikiliaji (sijui ni mmiliki orijino ) naye kwisha habari yake....heheeee!
heri wote tukose aisee...